CG
Chagu General Supply Logistics · Tanzania
Lori na trailer barabarani Tanzania

Usafirishaji wa kuaminika

Tunasafirisha mzigo wako salama na kwa wakati

Chagu General Supply inahudumia kampuni na watu binafsi ndani ya Tanzania: magari, trailer na timu ya madereva — Kahama, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Singida, Dodoma, Arusha, Tanga na mikoa mingine nchini.

Kahama → Dar es Salaam Tanzania
Shinyanga → Mwanza Tanzania
Simiyu → Kahama Tanzania
Mwanza → Dodoma Tanzania
Singida → Dodoma Tanzania
Dodoma → Arusha Tanzania
Arusha → Tanga Tanzania
Tanga → Dar es Salaam Tanzania

Huduma zetu

Tunatoa usafirishaji wa mizigo ndani ya Tanzania kwa magari, trailer na usimamizi wa safari kuanzia kupakia hadi kufika.

01

Usafirishaji wa mizigo

Tunasafirisha mizigo ya biashara, vifaa vya ujenzi, chakula na shehena nyingine kati ya mikoa ya Tanzania.

02

Njia ndani ya Tanzania

Tunaendesha safari Kahama, Shinyanga, Simiyu, Mwanza, Singida, Dodoma, Arusha, Tanga na mikoa mingine nchini.

03

Tractor na trailer

Tunatumia tractor na trailer zilizo tayari kwa mzigo mkubwa, mrefu au unaohitaji uangalizi maalum.

04

Usafiri wa mikoa

Tunaratibu upakiaji, usafirishaji na uwasilishaji kati ya miji na mikoa yote tunayoifanya kazi nchini.

05

Ufuatiliaji wa safari

Timu yetu inafuatilia gari, dereva na muda wa kufika ili ujue hali ya mzigo wako.

06

Bei baada ya booking

Unatuma ombi, unathibitisha email, kisha tunakupa bei na ankara — bila kulazimika kuweka bei mwenyewe.

Jinsi booking inavyofanya kazi

Hatua nne tu. Bei haiwekwi na wewe; timu ya Chagu inaweka bei kisha inakutumia ankara.

HATUA 1

Jaza taarifa

Weka majina, email, anwani, kutoka, kwenda na aina ya mzigo.

HATUA 2

Thibitisha email

Bonyeza kiungo tulichotuma. Bila uthibitisho booking haiendi mbele.

HATUA 3

Tunakupa bei

Wahusika wa kampuni wanaona booking na kuweka bei ya usafirishaji.

HATUA 4

Ankara kwa email

Ankara inatumwa moja kwa moja kwenye email uliyoweka wakati wa booking.

Dereva na gari la usafirishaji

Anza sasa

Book usafirishaji wa mzigo

Bonyeza kitufe, jaza fomu, kisha thibitisha email. Baada ya hapo booking inaonekana kwenye mfumo wetu.

Tuma booking sasa

Wasiliana nasi

Ofisi yetu

Tupo Maswa, Simiyu. Piga simu, tuandikie barua pepe, au tuma ujumbe kupitia fomu.

Anwani Maswa, Simiyu, Tanzania
Simu +255 762 245 588
Barua pepe info@chagugeneral.com

Tuandikie